Msigwa Aliangukia Bunge, Aomba Msamaha kwa Wabunge




Mbunge wa Iringa mjini (CHADEMA)Mchungani Peter Msigwa amewaomba radhi wabunge wote aliowakosea kwa kipindi cha miaka mitano ya bunge la 11 linaloelekea ukingoni.

Akizungumza wakati wa uchangiaji wa bajeti kwenye wizara ya Tamisemi Msigwa amesema walikwaruzana  na wabunge hao kwa kipindi chote kwa lengo la kujenga taifa na si vinginevyo

“Tumekwaruzana bungeni kwa muda wa miaka mitano, yote ilikuwa ni kilijenga Taifa, naomba nitumie nafasi hii kusema pale tulipotofautiana tusamehane.Tunapokwenda katika Uchaguzi Mkuu Mungu ndiye anayejua nani atarudi” amesema

Ikumbukwe kuwa bunge litavujwa rasmi tarehe 19 mwezi June na rais John Magufuli ikiwa ni mara ya mwisho kwenye muhula wa kwanza wa serikali ya awamu ya tano
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tumeelewa unacho kisema, Ila kwa Taarifa yako, wewe na walio kama wewe
    wababaishaji na Walioharibiwa kifikira
    na uelewa kuwaUpinzani ni Upotoshaji /
    Maumbano naUpingapi wa Yote.

    Mungu ametubainishia,na Mungu ni mwema
    NyiewotewaDizaii hii HAMRUDI TENA .

    HAMNA NIA NJEMA YA KUITUMIKIA NCHI.
    IKIWA SACCOS INAKUFA NA WANACHAMA PIA.

    NIKO RADHI KUMPA KULA YANGU MSANII
    WA KIMATAIFA STEVE NYELELE KILIKO WW

    ReplyDelete
  2. Mlioingia Bungeni kwa Bahati mbaya
    Si dhani kama kuna punguani atatokea
    kutaka kuona unakata tiketi ya Basi kwenda Dodoma mwezi Novemba

    Ester/Heche/godilesi/kigori Halima
    nakuumbeni mnitumie Cv zenu ili tujue
    tunakusaidieni vp. Kolona ipo Ajira
    pia zipo za kumwaga, ila Utovu wa Nidhamu na Utoro kazini HAUVUMILIKI.

    Matiko nia ile unaweza kuisema na kubenea Kwa pamoja Silinde na Selasini
    wameitoa parawanja.
    Mitandao ya Fesibuku imezibitiwa na twita. na wapotoshaji wake na moneylaundering channel zake.. Wakati
    ni mgumu kuliko.Bodaboda / Bajaji Hawasikii la mtu Wanapiga kazi kumuunga mkono Mh Raisi na wanataka Amani na Utulivu si vingivevyo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad