Msigwa Amlipua Mbunge Aliyelia Kuhamia CCM Bungeni “Ni Msanii Tu huyo”

Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali Amwaga Machozi Bungeni ...Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali ni msanii na hana uchungu wa aina yoyote na chama chake cha CHADEMA

Msigwa ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na kituo cha habari cha Wasafi FM amesema kama chama kimlimghalia alivyopingwa na polisi

“Ni usanii tuu huyo anafanya alipofungwa gerezani na serikali hii imefunga meizi sita chama kimeghalimia ghalama kubwa kumrudisha kwenye mstari kumtibia alipooingwa na polisi sasa leo amasema CHADEMA inamtesa kuliko CCM ambayo ilimfunga miezi sita ana uchungu gani sasa huyo” amesema

Ikumbukwe kuwa hapo jana mbunge huyo wa Kilombero Peter Lijualikali aliomna mbele ya spika wa bunge kuhamia CCM kwa madai ya kuwa amechoka kuteseka ndani ya chama chake cha CHADEMA
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Msigwa, Tatizo lako tunalijua na hofu
    yako pia tunaiua (Msani wa Kimataifa anae julikana kama Steve Nyerere)

    Kwa Taarifa yako CCM haina Mamlaka na Uwezo wa Kumfunga Mtu.

    Usibwabwajike. Lijuakali katoa ya Moyoni msiyotaka yasikike na wewe ukijua fika kuwa ni Muhanga wa hilo.

    Mchungaji Unapelekeshwa..?? Inatia huruma poleni sana tumia muda kuiaga Twitter. Haurudi. au na wewe ndio kama
    wale wa Mirembe. Chizi ..karogwa..!!!

    Lijualikali katema mtama..Kiuzalendo
    imetupa picha ya Ubabe na Dhuluma mnazo pitia.Wahusika Tunalifanyia Kazi

    ReplyDelete
  2. Msigwa, Tatizo lako tunalijua na hofu
    yako pia tunaijua (Msani wa Kimataifa anae julikana kama Steve Nyerere)

    Kwa Taarifa yako CCM haina Mamlaka na Uwezo wa Kumfunga Mtu.

    Usibwabwajike. Lijuakali katoa ya Moyoni msiyotaka yasikike na wewe ukijua fika kuwa ni Muhanga wa hilo.

    Mchungaji Unapelekeshwa..?? Inatia huruma poleni sana tumia muda kuiaga Twitter. Haurudi. au na wewe ndio kama
    wale wa Mirembe. Chizi ..karogwa..!!!

    Lijualikali katema mtama..Kiuzalendo
    imetupa picha ya Ubabe na Dhuluma mnazo pitia.Wahusika Tunalifanyia Kazi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad