Mume Aziba Nyeti za Mkewe Kwa Gundi Akimtuhumu Kutokuwa Mwaminifu

Kenya
Polisi wanamsaka Mwanamume mmoja kwa tuhuma za kuziba sehemu za siri za mke wake kwa gundi kwa sababu ya kutomuamini katika ndoa yao

Inaelezwa kuwa mume alirudi nyumbani baada ya kusafiri kwa muda mrefu na kuanza kumuuliza mkewe ni wanaume wangapi amelala nao kwa kipindi ambacho yeye hakuwepo

Kisa hicho kimetokea katika Kaunti ya Tharaka Nithi ambapo Mke amewasimulia Polisi kwamba alilazimishwa na mume wake kuvua nguo kabla ya kuanza kumuhoji huku akimpiga na kumtishia kumchoma kisu alichokuwa amekishika

Inaelezwa Mshukiwa huyo aliziba mdomo na masikio ya mkewe kwa gundi na kisha kummwagia pilipili, chumvi na gundi kwenye sehemu za siri na kisha kutoweka
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad