Mume Kamtegesha Mke Kwa Njemba ili Avute Hela ya Ugoni..Kilichotokea Hata Kaa Asahau

Hii muvi ilianza kuna jamaa alikuwa anafkuzia mke wa mtu bila kuchoka.
Mke akamwambia mume.wakashauriana waweke mtego matata wa kufumania ili mgoni abananishwe atoe pesa maana anazo!

Siku ikawadia mke akakubaliana na jamaa wakutane gesti kama kawaida wako ndani washavua kila kitu mara mara mwenye mke akavamia na jamaa yake ili wamtaiti mgoni!kumbe mgoni mjanja bana akawatolea bastola akawaamuru wafunge mlango afu akawaweka chini ya ulinzi na kuwafunga kamba alafu akaendelea kula mzigo mbele yao hadi akamaliza afu akawafungia wote humo ndani akasepa ..Jamaa akajikuta kakosa ela na mkewe katafunwa mbele yake.....
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahahahahaha!tamaa ilimponza fisi.

    ReplyDelete
  2. Hahahahhaha jamni nimecheka hadi nimepaliwa daah

    ReplyDelete
  3. Hii story ya kutunga,amewezaje kuwafunga kamba wote hao jamaa huku ameshikilia bastola! Labda angetumia kuwatishia akasepa ningeelewa maana haiwezekani kutumia mkono mmoja kufunga kamba na mkono mwingine ushikilie bastola

    ReplyDelete
  4. Ndo kaweza na mzigo kala jaman mbona wabishi?

    ReplyDelete
  5. jaribu na wewe kumfumania na mkeo uone inawezekana au vipi?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad