Mwigulu Mchemba Acharuka "Wanakataa Vipimo Wakati Maabara iliyopima ipo Tanzania na imeonyesha Fenesi na Mbuzi wana Corona"


Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Mwigulu Nchemba, amesema nchi inajanga la Corona na vipimo kutoa majibu feki ni tatizo jingine ambali linatengeneza mashaka.

“It’s from laboratory. Nchi ni yetu, tunajanga la corona, vipimo kutoa majibu fake ni janga lingine na inatengeneza mashaka mengine. Tunalishughulikia,”

Dk Nchemba aliendea kuhoji katika ukurasa wake wa twitter iweje wapinge wakati majibu ya vipimo vimefanyika katika maabara ya Tanzania.

“Wamekataa ukweli? Walifanya wenyewe hivyo vipimo? Au majibu kabla hayajaonyeshwa kwenye computer yanapitia kwao? Saver? Au wana remote control vipimo au wapimaji?,”

“Wanakataaje kwa mbali wakati maabara iliyopima ipo Tanzania na imedhihurisha kuwa fenesi na mbuzi vimeonekana positive,” aliandika Nchemba.
Hivi karibuni Rais John Magufuli alieleza kuwa kuna sampuli mbalimbali ikiwemo za wanyama na hata papai na fenesi zilipelekwa kwenye maabara inayopima virusi vya Corona na majibu kuonyesha Corona jambo ambalo lilimshangaza na kuaagiza uchunguzi kufanyika
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad