Mwijaku: “Nyimbo za Diamond Kuanza Kuchezwa Clouds Ataanza Kushinda Tuzo, Alipotea Kimataifa” – Video


Msanii na Mtangazaji wa Cloud Plus Mwijaku ametoa maoni yake kuhusu CEO wa Clouds media Joseph kusaga kuwataka Watangazaji wa kipindi cha Leo tena kucheza wimbo wowote wa Diamondplatnumz na Mwijaku kusema kwamba huo ndio Utakuwa mwanzo wa Diamond Platnumz kuanza kushinda tuzo.

Mwijaku ameongeza kuwa Diamond Platnumz kutokushinda tuzo za kimataifa ni kwa sababu nyimbo zake ziliachwa kuchezwa Clouds media.

Pia kwa Upande wa Lilommy alishinda tuzo kwa sababu baadhi ya Watangazaji wa Clouds walianza kumtaja kama B Dozen na wengine.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad