MWIJAKU:Jonijo Atulie /Diamond Kununua HOTELI/WATOTO wana MAISHA Magumu/Diva Loveness KIGAGULA
3Udaku SpecialMay 02, 2020
MSEMAJI wa Instagram MWIJAKU amefunguka na kuongela mambo yanaoendelea ya baadhi ya wasanii kuhama kwenye media kila kukicha. Pia ameongezea kwa kusema kuwa Diamond akumbuke anawatoto wake wanaishi maisha magumu.
Diamond hata ufanye nini in shaa Allah ulishe maskini dunia mzima madam baba yako anadhalilika ana hangaika yote unayo fanya ni kazi ya bure kama hujui dini au hujafunzwa basi Rudi chooni au katafute muelekezo wewe baba yako anahangaika eti unalipia kodi familia 500 nonsense pili uzinifu ndio nyumba yenu yaani sioni nimefanya kitu chochote jirekebishe halafu mtu akifanya kitu kumsaidia mtu shangazi au kujisifu hapati lolote ndio nakwambia Rudi źkwa mola wako tafuta muongozo hata kama baba au mama walikutupa hao ni wazazi utapata tabu may be not now but later utajuta
maneno kuntu kabisa bila radhi ya wazazi wawili hamna mafanikio jamma baba anahangaika wewe kweli unaweza kunywa hata maji mama ni mama na baba ni baba hamna badili usidanganyiki bro ukiwa anakwenda na Amali yako na sanda yako mama ako haingi na wewe kaburini kumujobia maswsli kugumu huko jitahidi dunia isikudanganye
Kumbe unaongea vizur? Huwa unajitoa ufahamu makusudi...
ReplyDeleteDiamond hata ufanye nini in shaa Allah ulishe maskini dunia mzima madam baba yako anadhalilika ana hangaika yote unayo fanya ni kazi ya bure kama hujui dini au hujafunzwa basi Rudi chooni au katafute muelekezo wewe baba yako anahangaika eti unalipia kodi familia 500 nonsense pili uzinifu ndio nyumba yenu yaani sioni nimefanya kitu chochote jirekebishe halafu mtu akifanya kitu kumsaidia mtu shangazi au kujisifu hapati lolote ndio nakwambia Rudi źkwa mola wako tafuta muongozo hata kama baba au mama walikutupa hao ni wazazi utapata tabu may be not now but later utajuta
ReplyDeletemaneno kuntu kabisa bila radhi ya wazazi wawili hamna mafanikio jamma baba anahangaika wewe kweli unaweza kunywa hata maji mama ni mama na baba ni baba hamna badili usidanganyiki bro ukiwa anakwenda na Amali yako na sanda yako mama ako haingi na wewe kaburini kumujobia maswsli kugumu huko jitahidi dunia isikudanganye
ReplyDelete