Mwimbaji Nandy Azua Maswali Baada ya Hili, Je ni Mjamzito..?



Mwimbaji staa wa kike wa Bongofleva Nandy ameacha maswali mtandaoni baada ya kupost video inayomuonesha na mchumba wake Billnass akiwa anamchana nywele na kumpa jina jipya lililofanya watu wajiulize Nandy ni mjamzito..?

Bonyeza PLAY hapa chini kusikia zaidi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad