Naibu Waziri wa Afya Aliyetumbuliwa Amshukuru Rais Magufuli



Nimepokea uamuzi wa Rais kwa unyenyekevu mkubwa.
Ninamshukuru JPM kwa kunipa fursa ya kuhudumu katika Serikali yake. Nawashukuru
umwalimu na watendaji wote kwa ushirikiano walionipatia.Mafanikio ya sekta ni makubwa sana. Namtakia kila la kheri NW ajaye Dk Mollel.- Dk Ndugulile.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad