Natarajia Kuoa Hivi Karibuni Nishaanza Mipango- Ommy Dimpoz
0
May 07, 2020
Mkali wa Bongofleva Ommy Dimpoz amesema yupo kwenye maandalizi, na panapo maajaliwa ataweza kufunga ndoa hivi Karibuni
.
.
Akiongea 'LIVE' na MVP Lil Ommy kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Dimpoz amesema kua kwasasa ameanza maandalizi madogo madogo ikiwemo kufuga ndevu , ili ata akienda kuposa aonekane Ni Kijana anaejielewa
.
.
Mkali uyo anaetamba na Ngoma 'KATA' ameongeza kua alitaka kuoa kipindi hiki Cha Ramadhan, lakini akaogopa asije kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
Tags