Ni wakati sasa Afrika kuanzisha Shirika la Afya Afrika



Kutokana na ubeberu na kutothaminiwa kwa dawa na tafiti nyingi zinazofanywa Afrika na waafrika wenyewe licha ya jitihada hizo kugonga mwamba kwa kukataliwa au kubezwa na Shirika la Afya Duniani yaani WHO, ni hivi majuzi tu katika kuhangaika kupambana na homa Kali inayosababishwa na virusi vya Corona maarufu COVID- 19

Nchi ya Madagascar kupitia Rais wa nchi hiyo Mh Andry Rajoelina kuutangazia ulimwengu kwamba taasisi ya utafiti ya madawa na Magonjwa nchini humu imefanikiwa kupata dawa inayoponya virusi vya COVID-19, hatua hiyo ilipokelewa kwa kejeli na nchi za Ulaya kupitia shirika la Afya duniani

Inaonekana WHO hawaamini maendeleo ya kitabibu ya Afrika mpaka wao wathibitishe hivyo basi ninashauri viongozi wa nchi za Afrika wafikirie kuanzisha shirika la afya Afrika yaani AHO maana tuna malighafi tiba nyingi Afrika na malighafi watu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad