Ni Wakati wa Harmonize Kutumia Weekness za Diamond Platnumz Hasa Skendo za Wanawake Kujiongezea Fan Base.



Hi guys!!
Let me declare,I'm Diamond platnumz fan but also I support any bongo fleva artists who are pushing hard to make sure our music dominate airways internationally.

Kiufupi pamoja na kwamba Mimi ni shabiki wa diamond platnumz lakini hivi karibuni nimechoshwa na tabia yake ya kuwadhalilisha wanawake (womenizer),sipendi hii tabia kabisa na hii nadhani wengi wanajua huwa inampunguzia mtu heshima na kudharauriwa,na Mimi now hata kusikiliza song's zake naona kama nikisikia nyimbo zake kuna kitu kinanisuta na kukumbuka hii tabia yake chafu,kwaio naishia kuepuka kusikiliza song's,sijajua hali ya Baadae.

Sio kwamba yeye ni wa kwanza kuzalisha wanawake na kuwaacha lah,wapo wengi Mfano kina Hemed PhD,kina wizkid nk,wenzie wanawazalisha wanawake bila kuishi nao na kisirisiri hadi Baadae inapokuja kujulikana kuwa wamezalisha sehemu mtoto,lakini yeye mode anayoitumia ni sio nzuri hasa kuwaaminisha wanawake hao kuwa atawaoa na hufikia hatua ya kuishi nao kinyumba ( isipokuwa mobetto) but Baadae akishawachoka anawatema huo sio uanaume ni ushamba na ni pepo linamsumbua.

Watu wanaenda mbali zaidi kwa kudai mama na dada yake wanahusika kwa kumuingilia katika mahusiano yake because wanasema nikama Diamond still ni (mama's boy) amemuweka mama yake karibu sana hata katika masuala ya relationship zake.

Matokeo ya tabia yake yanaweza yasionekane Haraka lakini taratibu yanamshushia heshima yake na kumpunguzia fan base,hapa tz na katika nchi ambazo hao wanawake anaowachezea wanatokea.

Mfano nimeona hii issue yake na tanasha imewaudhi sana wakenya wengi ambako ndio anakoongoza kwa fanbase kubwa,wakenya ndio wanaoongoza kusikiliza nyimbo za diamond kwenye online platforms zote na si tz,pia hata shows,sasa wakenya Nimeona wamechukia na hii huenda ikampunguzia fanbase Kenya taratibu na mauzo yake online na Show's vikapungua taratibu na ndio kushuka kunavyoanza,hii ilitokea hata Uganda katika ishu yake na zari,waganda wakaanza kuboycott music wake taratibu na akapoteza fanbase kubwa kule.

Hii inaweza ikawa nafasi nzuri kwa mshindani wake wa karibu harmonize kutake over fanbase inayodrop kutoka kwa Diamond na kujiongezea ukubwa wake hasa Kenya,uganda na Africa mashariki kiujumla,maana harmonize naona ndie msanii mwenye juhudi kubwa na kiu ya kufika mbali Kulinganisha na wengine,let aside girls Kama Nandy na Vanessa mdee,
So akitumia vizuri gap hilo atafika mbali na kushine sana pamoja na Kondegang yake,akishindwa kutumia hizo weekness hizo basi asahau kushindana na wcb wasafi na Diamond platnumz.

Niliona kwenye interview yake pale wasafi akidai Kwasasa hatajihusisha na mapenzi kwa muda wa miaka 5 ijayo na akiingia kwenye relationship basi ni ndoa,ni kiziwi tu anaeweza kuuelewa uongo ule because kwa Diamond ninayemjua hawezi kukaa hata miezi mi3 bila kujihusisha na wanawake,mimi mwenyewe siwezi kukaa miaka mi5 bila mwanamke ni uongo mkubwa hasa kwa mwanaume uliyekamilika.

Kwa Mimi naona ni vema tu,angemuoa yule binti wa Kenya,maana Kama demu aliamua hadi kubadirisha dini kwa sababu yake then unamwacha,aliacha hadi Utangazaji kwenye kituo cha redio kule Kenya akijua anakuja kuolewa tz na mond,na kuzaa juu.So Kama akiweza aoe mapema kusolve hii ishu na kuokoa fall down inayoweza kutokea taratibu bila yeye kujua.

Now wakenya wanamwita father Abraham.
Am Done guys have a good day.

By Nedago

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad