Nimegundua Mke Wangu Anavuta Sigara Kubwa Kwa Siri (Bangi)



The beautful wife of mine smook weed.
Jamani juzi kati nimembamba mke wangu akiwa analipuliza. Tena alipo niona wala hakushtuka
kwa mapoozi akaendelea kulikoka.. ahh! mi nikazani sigara kwani huwa anapiga siku moja moja
anadai inaondoa stress na kwa sababu nilikua tungi nikazama ndani.
Leo nimepewa notes ya kuhama na baba mwenye nyumba wangu sababu ya mke wangu kuvuta bangi hadharani, anadai mimi nikiwa kazini mke wangu anapuliza Bangee Mchana kweupe kitu ambacho kimekuwa kikiwabuguzi wapangaji wengine (Ila hii sio ishu nitamalizana nae).

Mke wangu nikimuuliza anasema mbona wewe unakunywa?.. Kwani tatizo nini?

Naombeni ushauri
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama NI stare he yake. Mwachie ila muonye akikamatwa wewe humo manake ulisha Onya.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad