Nimemnunulia hadi kiwanja Chanika, simu nzuri, pesa za matumizi nampa nyingi tuu nimemwambia boom lake awasaidie wazazi nyumbani kwani aliniambia wako vibaya sana (maskini wa kutupwa)
Sasa juzi nimegundua kumbe pesa ninazompa ana kamwanamme kake nae anakahonga anasoma nako chuo.
Gharama nilizomgharamia nimecalculate ni zaidi ya M8, nikimuulza analeta kiburi anadai kama vipi tuachane.
Je, nifanyaje? Juzi washikaji zangu wamenishauri tuwateke wote tukawatese nje ya mji ikiwezekana tumuue huyo jamaa.
Mnanishauri nini?
Inauma sana
Muache atakupa maukimwi
ReplyDeleteKakuona huna akili na huna shida ndio maana anamhonga mtu mwengine mwenye shida. Ndani ya miezi mi4 umemfanyia hawara yote hayo, ni afadhali angekuwa mkeo.....vipi kuhusu ndugu na wazazi wako, umewafanyia nini cha maana.......anyway, WAJINGA NDIO WALIWAO, hata ukimteka, ukimuua, hautapata faida yoyote zaidi ya kujiongezea dhambi na utaishi kwa mashaka, maana damu ya mtu haipotei bure, lazima itakudhuru
ReplyDeleteSiku nyingine kabla Haujaanza Kutoa PESA ujekuomba ushauli kwanza sio unaomba ushauli yashatokea kwani hauna mama hiyo pesa si ungemtumia mama yo kijijini.
ReplyDeleteKwani umeshagonga?
ReplyDelete