Ongezeko la Maambukizi ya Corona Kenya yafikia 435


Wizara ya afya ya Kenya imesema wagonjwa wengine wa corona 24 wameongezeka na kufanya idadi ya jumla ya maambukizi kufikia 435 kutoka 411 ''tumewapima watu 1,195 ndani ya saa 24 na kati yao 24 wamekutwa na corona ,hii ni idadi kubwa kuwahi kutokea kwa siku tangu corona iingie kenya''
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad