Piere Liquid Azungumzia Karantini: Nilibanwa Mbavu Balaa!


MCHEKESHAJI maarufu nchini, Peter Mollel ‘Pierre Liquid’,  ambaye hivi karibuni alipata maambukizi ya virusi vya corona, amethibitisha kuwa tayari amepona na kuruhusiwa huku akiwataka Watanzania kutoogopa na waende hospitali wanapoona dalili za ugonjwa huo.

Akizungumza na Kipindi cha Front Page cha +255 Global Radio leo Mei 5, 2020, Piere amesema; “Niliwekwa karantini Amana nikawa nameza dawa, pia mazoezi yamenisaidia sana nilikuwa siwezi kuhema ila baada ya mazoezi nikaanza kuhema, mbavu zilikuwa zinanibana zimeacha, sijajifukiza kwa sababu mimi namuamini Mungu.”
Aidha, Pierre amefunguka mengi kuhusu maisha ya karantini baadhi ya mambo ambayo yamekuwa yakizushwa kuwa hakuna huduma.

MSIKILIZE PIERE AKIFUNGUKA


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad