Rais Donald Trump Atoa Mpya"Napiga Chloroquine Daily Kujikinga na Corona"

Rais Trump amesema licha ya kwamba haumwi corona ameamua kutumia hydroxychloroquine, Trump amekuwa akizipigia debe dawa hizo kuwa zinasaidia kupambana na corona licha ya Wanasayansi kupingana nae. “nimewauliza Madaktari wangu wakasema hazina madhara, natumia”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad