Rais Magufuli ''Nitatuma Ndege ikalete Dawa ya Corona Madagascar''



Nimewasiliana na watu wa Madagascar kuna dawa kule ya corona wanasema wameipata nitatuma ndege hio dawa ije hapa tuitumie, wengine wanasema nipo Chato, hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa hapa kuna ubaya gani nikiwa Chato? tuache siasa za ajabu

Wengine wanasema tufunge biashara au shughuli za kiuchumi wakati wengine wanaendesha magari ya STK  na inawekwa mafuta na serikali amesahau alichiokalia ndicho kinachotoa mafuta , mishahara tutalipaje tukifunga.

Wengine wako DSM wanasema watu wasiende Bungeni , na nimeagiza wasilipwe posho maana utalipwa kwa kazi uliyoifanya , kuna mambo ya ajabu yanafanyika , sina imani na Mkuu wa Maabara ya Taifa maana haiwezekani tupeleke sampuli za mapapai zioneshe zina corona''.- JPM

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mkuu hawa si Wakujibiwa.
    Wapotezeee .. Wameshazoea Kurap Rap.

    IGP sirro ni saizi yao. Au Sisi Makamando wako tuko na tunadeal Nao.

    Wewe tufanyie ya Maendeleo na SADC

    Hawa wala Ruzuku na Posho. Hawafurukutia kwa Mh Ndugai na Mama Tulia anawatuliza kwelikweli Kisawa sawa

    ReplyDelete
  2. Mkuu hawa si Wakujibiwa.
    Wapotezeee .. Wameshazoea Kurap Rap.

    Wewe tufanyie kazi za Maendeleo na SADC

    Hawa wala Ruzuku na Posho.

    Hawafurukutia kwa Mh Ndugai na Mama Tulia,anawatuliza kwelikweli Kisawa sawa

    WENGINE WANAPATA PLESHA NA KUWEWESEKA WAKISIKIA MDA WAO UKO UKINGONI NA WANAELEWA FIKA KWAMBA HAWATORUDI TENA BUNGENI NA POSHO NA RUZUKU NA KUKODISHA KITI TO KWA MWENYE KIGODA HAVITAKUWEPO TENA..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad