Rais Magufuli ''Rafiki Yangu Alipata Kihrusi Wakampima Wakasema ni Corona''
0
May 17, 2020
“Kuna rafiki yangu mmoja Injinia alipata kiharusi akapelekwa Muhimbili, wakampima wakasema ana corona, amepelekwa Amana Watu wanamuogopa kisa ana corona, Ndugu zake wakamtoa wakampeleka Agha Khan, wamechukua vipimo wakakuta mzima hana corona, amepona yupo nyumbani” -JPM
Tags