Rais Magufuli ''Waagonjwa Wamepungua Amana inalaza Watu 12''
1
May 17, 2020
“Mungu ametusaidia na kwa taarifa za leo wagonjwa wamepungua sana Amana ilikuwa inalaza Watu 198, leo walikuwepo Watu 12 tu, Mlogonzila ilikuwa inalaza Watu 30 leo wamebaki 6, pale Kibaha Hospitali ilikuwa inalaza zaidi ya Watu 50 leo wamebaki Watu 22”-JPM
Tags
Hizi zote NI Neema na Rehema ZAKE anaepaswa kuabudiwa kwa HAKI.
ReplyDeleteJemedari wetu Tunakuelewa.
Na WASIO kuelewa WATAKUELEWA siku zijazo kama wako Hai panapo Uhai.
Tumtangulize MUNGU SIKU ZOTE na tumtegemee kwa yote. Na Tahadhari na Ushauri tufate.
Asante JPJM. MUNGU AKUPE AKULINDE AKUJAALIE AFYA NA UMURI MREFU.
Asante kwa Sukari Baba mpaka kwetu Kondoa Irangi tumeanza kuona na bei elekezi. Hivi Kesho tunakwenda kisomoni DODOMA kukuombea Allah akuepushe na Hasadi Baba.
Ramadhan Kareem