RC Makonda Ashindwa Kujizuia na Kumuandikia haya Mkewe



Leo May 2, 2020 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya mke wa Mkuu wa mkoa wa Daresalaam Paul Makonda ambapo moja ya watu waliomtakia heri katika siku yake ya kuzaliwa ni pamoja na mumewe Makonda.

RC Makonda ameonesha kumpa heshima ya kutosha mke wake kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram maneno matamu na yenye heshima huku akimtakia heri ya maisha marefu.

”Happy birthday MOYO wangu. Nikipewa nafasi ya kuongea mbele za waandishi wa habari. Hotuba yangu itaongozwa na maneno haya. Kipenzi changu na Moyo wangu,
“Jasili asiekatishwa tamaa mwenye moyo wa matumaini usioyumbishwa na maneno, mama wa Watoto wangu hakika kwake naiona Dunia ni tofauti na watu wanavyoiona. Kwangu ni zaidi ya Zawadi. Mungu akutunze kipenzi changu siku moja usimlie matendo ya Mungu ktk maisha yetu” – Makonda
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad