Sakata la Upatikanaji wa Sukari PAUL Makonda Afunguka Haya......

Sakata la Upatikanaji wa Sukari PAUL Makonda Afunguka Haya......
Tukiwa katika mjadala wa kupanda kwa bei ya Sukari nchini, Sasa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema Serikali ipo katika kushughulikia suala hilo na tutegemee siku mbili zijazo jambo hilo litakuwa sawa.

Nafahamu tuna changamoto ya upatikanaji wa sukari kwenye mkoa wetu (DSM), Serikali inashughulikia suala hili kwa umakini mkubwa na ndani ya siku mbili zijazo tutatoa suluhisho la kadhia hii, endeleeni kuchukua tahadhari na kujikinga na corona”-Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tunakuamini Mh Makonda.
    Katika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani
    Chonde chonde tufanyieni wepesi Upatikanaji wake Kila Mwaka muwe mnajipanga well in advance. Wananchi hasa Sisi tulio katika mfungo unatukera
    na Ni mwezi wa TOBA NA MAGHFIRA. NDIYO TUNASTAHAMILI NA KUVUMILIA. ILA HAIPENDEZI.

    Chonde chonde msituchonganishe na wapiga kura wetu.

    ReplyDelete
  2. Tunakuamini Mh Makonda.

Top Post Ad

Below Post Ad