Siwezi Muambukiza Mwanangu Virusi vya Ukimwi...Mwanamke Mwenye HIV Afunguka


Siwezi Muambukiza Mwanangu Virusi vya Ukimwi...Mwanamke Mwenye HIV Afunguka
Phenny Awiti ni mama wa watoto watatu licha ya kuishi na virusi vya ukimwi akiwa na mumewe kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii alisema kuwa hamna kitu chochote abacho kitamtendekea mwanawe kwa maana anamnyonyesha.

Tazama picha za mwanawe Phenny Awiti
Alijibu baada ya mashabiki wake kuonyesha wasi wasi wao, wengu wakisema kuwa anaweza kumuambukiza mwanawe virusi vya ukimwi.

Awiti alijibu na kusema,


“YES, WE ARE EXCLUSIVELY BREASTFEEDING. THIS IS THE MOST ASKED QUESTION IN MY DM.

I APPRECIATE ALL THE CONCERNS AND I AM AWARE OF THE MOTHERS THAT ARE HESITANT TO BREASTFEED BECAUSE THEY ARE HIV POSITIVE.

Hongera! Phenny kujifungua mwanawe wa tatu .
I BREASTFED ALL MY TWO GIRLS, AND I AM DOING IT WITH KWE, BECAUSE I HAVE UNDETECTABLE VIRAL LOAD. MEANING I CANNOT INFECT THE CHILD WITH HIV THROUGH BREASTFEEDING BECAUSE I HAVE LESS THAN 20 COPIES OF THE VIRUS IN MY SYSTEM, WHICH CANNOT BE TRANSFERRED.
BASICALLY AM HIV NEGATIVE BUT HIV LIVES IN ME, THAT’S MY EXPLANATION IN A LAY MAN’S TERM.“ Alisema Awiti.

Aliongeza kusema kuwa mwanawe ana dawa ambayo inampa kinga, huku akisema kuwa huwa ananyonyesha wanawe kwa muda wa miezi sita.

“IT IS EXCLUSIVE FOR SIX MONTHS. NO WATER, NO PORRIDGE, NO NOTHING, ONLY BREAST MILK FOR THE SIX MONTHS, THEN WE INTRODUCE MIXED FEEDING.
MY BABY IS ALSO ON ARVS SYRUP CALLED NEVIRAPINE, AND SEPTRIN AS WELL.”

Awiti alijua ana ugonjwa huo akiwa katika shule ya upili.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad