Sukari Yawa Shubiri Kwa Wafanya Biashara...Wanane Wakamatwa Kwa Kukiuka Agizo la Serikali

Sukari Yawa Shubiri Kwa Wafanya Biashara...Wanane Wakamatwa Kwa Kukiuka Agizo la Serikali

Wafanyabiashara 8 wa Sukari, mkoani Mtwara wamekamatwa kwa kukiuka agizo la Serikali kuhusiana na uuzaji wa kuuza Sukari kinyume na bei elekezi ya iliyotolewa.

Agizo la kukamatwa wafanyabiashara hao limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelesius Bakanwa, ambapo amefkia uamuzi huo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi.

"Nimefanya uchunguzi tumebaini karibia Wilaya zote hakuna mfanyabiashara aliyetii agizo la kuuza sukari kwa bei elekezi, ni Tandahimba pekee ambapo baadhi ya wafanyabiashara wametii" amesema RC Bakanwa

"Mpaka jana tumewakamata wafanyabiashara nane, na tumekamata kilo za Sukari 431" ameongeza Mkuu wa Mkoa Bakanwa

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani nyie Wafanya Biashara Hebu Muwe Binaadamu na Kumuogopa Mungu.

    Sisi Tuko katika Funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani Tuoneeni Huruma tumalize kwa Salama Hali si mnaiona wenyewe.

    Ma DC Ma RC na Wakurugezi Hongereni Sana katika Utendaji wenu uliotukuka.

    Msiwafumbie Macho hawa .
    Hongereni watendaji wote wa awamu ya Tano Kuanzia Mh raisi JPJM mpaka tarishi kila mmoja kwa Wadhifa wake na nafasi aliyopo. Tunawashukuru na Kuwaombea afya na Uzima.

    Mlipaji ni Mungu akujazeni kheri na Baraka kwa wote mnayotamani na kuyafanya.
    Bila ya kumuasi na kumshirikisha Mungu.

    Ramadhan Kareem.

    ReplyDelete
  2. Jamani nyie Wafanya Biashara Hebu Muwe Binaadamu na Kumuogopa Mungu.

    Sisi Tuko katika Funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani Tuoneeni Huruma tumalize kwa Salama Hali si mnaiona wenyewe.

    Ma DC Ma RC na Wakurugezi Hongereni Sana katika Utendaji wenu uliotukuka.

    Msiwafumbie Macho hawa . Bakanwa na kikosi kazi chako, Hongereni. Watendaji wote wa awamu ya Tano Kuanzia Mh raisi JPJM mpaka tarishi kila mmoja kwa Wadhifa wake na nafasi aliyopo. Tunawashukuru na Kuwaombea afya na Uzima.

    Mlipaji ni Mungu akujazeni kheri na Baraka kwa wote mnayotamani na kuyafanya.
    Bila ya kumuasi na kumshirikisha Mungu.

    Ramadhan Kareem.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad