Taarifa rasmi ya Wizara ya Afya kuhusu Mazishi ya wanaofariki katika kipindi hiki.


Wizara ya Afya imesema hakuna haja ya maiti iliyofariki kwa Ugonjwa wowote ule kuzikwa gizani, na kuwaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuzishirikisha familia na kufuata taratibu zote za utu.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad