Tanasha Dona Afunguka Diamond Platnumz Kumtafuta...Msamaha Wake Kwa Mwijaku na Kuwatembezea Block WCB Wote..

Katika Interview aliyofanya na Mtangazaji kutoka Kenya ameongelea mambo mengi yakiwemo haya:
Ni kweli nimebadili dini na kwa sasa mimi ni muislam, nilitafakari nikaone ni dini itakayo nipa amani, wazazi wangu walikubaliana na mimi kuhusu kubadili dini bila shida
Siko kwenye mahusiano yoyote kwa sasa, Yule mtangazaji niliyepiga nae picha ni Gaddafi na ana familia yake sio kweli kuwa ni mchumba wangu mpya 
Ni kweli niliwatembezea WCB wote Block ni vile tu niliona nikiona posts zao zitanikumbusha kuhusu machungu ya break up yangu na Diamond Platnumz 
Mimi na Diamond Platnumz hatuna ubaya wowote tunawasiliana kuhusu maswala ya mtoto jinsi gani tutamlea vizuri, alinitafuta tukayamaliza 
Ni kweli nimemsamehe Mwijaku baada ya kufanya press ya kutuomba msamaha mimi na baba wa Mtoto wangu, hivyo nimefuta kesi niliyokuwa nimeifungua 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad