HomeTANZIA: Katibu Jumuiya ya Wazazi CCM Afariki TANZIA: Katibu Jumuiya ya Wazazi CCM Afariki 0 Udaku Special May 07, 2020 Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Lugano Mwafongo amefariki dunia leo Alhamisi, Mei 7, 2020 katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC alikokuwa akipatiwa matibabu. Newer Older