Tanzia: Mkurugenzi wa uwanja wa ndege wa KIA afariki dunia




Kaimu Mkurugenzi wa kampuni inayoshughulikia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KADCO) Mhandisi Christopher Ande Mukoma amefariki dunia mapema asubuhi ya leo.

Taarifa kutoka kwa Uongozi wa uwanja wa ndege wa KIA zimeeleza Mhandisi Mukoma amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa shinikizo la damu akiwa nyumbani kwake mkoani Arusha.

Haya ni mahojiano ya mwisho aliyofanya Mhandisi Mukoma na Clouds Media Group kuhusu hatua zilizochukuliwa za kukabiliana na Virusi vya Corona.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad