Waziri wa nchi ofisi ya rais -TAMISEMI,mheshimiwa Suleiman Jafo anasikitika kutangaza kifo cha Hamim Buzohera Gwiyama mkuu wa wilaya ya Nyang'ahwele kilichotokea leo mei 7, 2020 kilichotokea leo asubuhi katika hospitali ya Bugando baada ya kuugua kwa muda mfupi.