UGANDA: Ongezeko la Wagonjwa Wapya 21 wa Corona


Wizara ya Afya Uganda imesema kuna ongezeko la wagonjwa wapya 21 wa corona na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 160 nchini humo kutoka 139. “wagonjwa wapya wote ni Madereva wa Malori, kati ya hawa 21, kuna Wakenya 8, Watanzania 7, Waganda 5 na Raia mmoja wa Sudan Kusini”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad