Ukweli Mchungu.."Diamond Platnumz Ndio Mwanamuziki Mkubwa Africa Kuliko Burna Boy" Mnaigeria Afunguka

Diamond Platnumz
Story Iliokuwepo Sasa Hivi Katika Mitandao ya Kijamii Niya Mwana Dada "Sharon Godwin" Kutokea Nigeria Kupitia Ukurasa Wake wa Twitter, Ameandika Kuwa DiamondPlatnumz Ndie Msanii Mkubwa Kuliko BurnBoy. Akimaanisha Hakuna Msanii Yoyote Mkubwa Zaidi ya DiamondPlatnumz.

Je ni Kwel Unakubaliana na Maneno ya Mwana Dada Sharon Godwin Kuwa DiamondPlatnumz Ndio Msanii Mkubwa Kuliko Wasanii Wote Africa?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad