Kitabu cha Biblia kinaeleza waziwazi huu uchafu unaofanywa na binadamu kama matendo ya ushoga,kutembea na binamu yako pamoja na wake za watu,kupitia vifungu vifuatavyo :
USHOGA NA ULAJI TIGO MAMBO YA WALAWI 20:13 Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume,kama alalavyo na mtu mke,wote wamefanya machukizo hakika watauwawa
KUTEMBEA NA MKE/MUME WA MTU MAMBO YA WALAWI 20:10 Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine,na mwanamke aziniye na mtu mume hakika watauwawa
NA WALE MNAOKULA KUKU NA MAYAI YAKE [MAMA NA MWANA] MAMBO YA WALAWI 20:12 Na mtu mume akilala na mkwewe mwanamke wote wawili hakika watauwawa,Tena mtu mume akimuoa mke pamoja na mama yake ni uovu mkuu
WALE WANAOTEMBEA NA WANYAMA MAMBO YA WALAWI 20:15 Tena mtu mume akilala na mnyama, na mwanamke akimkaribia mnyama yeyote na kulala pamoja naye,mtamwua huyo mwanamke
KUTEMBEA NA BINAMU YAKO MAMBO YA WALAWI 20:19 Usifunue utupu wa umbu la mama yako wala umbu la baba yako
Tunakumbushana tuu Jamani
By Eddy Love
Komeni
ReplyDeleteYalianza tangu sodoma na gomara
Tupo wengi Tanzania kuanzia ikulu hadi mtaani
Hapa kazi tu
Watakuja wale wa imani ya kisasa watakwambia Yalikuwa mambo ya walawi-Werevu umezidi sasa umekuwa ujinga tu. Binadamu hawaelewi.
ReplyDeleteNENO LA MUNGU HALIBADILIKI, HIVYO NDIVYO ILIVYO. OLE WAKO WEWE UNAYEZIBA MASIKIO NA KUJIFANYA HUSIKII, OLE WAKO WEWE UNAYEFUNGA MACHO NA KUJIFANYA HUONI. SIKU YA KILIO INAKUJA
ReplyDeleteAcha ujinga ukifa umekufa
DeleteNikiwa shoga nakula raha zangu
Tena kuanzia ikulu
Mawaziri
Mapolisi tupo tele hao msago usiseme wanavaa hijabu kuficha mengi wengine hata walinzi wao msagooooooo
Mungu unajuwa wewe unaskia kanisani au msikitini
Delete🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😇😇😇😇😇😇😇😇😜🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🍻🤑🤑🤑🤑🤑😬😬😬😬📚📚📚📚📚✂️📚🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲
DeleteAstakhfirullah....toba
ReplyDeleteKuna baadhi ya walengwa wamejibu tena kwa dharau, ila wasubiri saa zao kifuani zitakaposimamishwa na yule aliye mbinguni watakuja kuyasema haya? isikudanganyee pumzi uliyonayo na majaribu mengi ya dunia hii, kwani kia mmoja wetu atakuwa na yake a kujibu kwa mola wetu.Zingatieni na kufuata makatazo ya mwenyezi mungu kwani kuna siku ya kuulizwa moja hadi jingine huku uiwa na hai ngumu na mateso yasiyoelezeka.Ni ajabu kujisifu mbelee ya malaia wako kuwa wewe ni shoga na kuutetea kwa nguvu zote, kumbuka huko utakuwa na muda wa kuyasema haya unayoyasema,lakini pia kabla ujafa kwa maana ya pumzi ya mwisho utateseka hata kwa wiki nzima ikiwa ni moja ya hukumu zako toka kwa mola wetu kwa yale mabaya uliyoyatenda hapa duniani, kuna uwezekano ukafa ukiwa umekodoa macho,kupinda shingo, kukunja miguu na mikono kama kifurushi cha mwizi. Angalieni sana wanadamu wenzangu duniani ni sehemu ya kuishi kwa kipindi kifupi tusidanganye na inatupasa kuyatenda yanayompendeza mungu.Mungu awasamehe waliojibu kwa khebei maagizo ya mola wetu ila siku ya mwisho tutaulizwa na tujibu na kutoa adhabu kwa maovu yetu wenyewe.
ReplyDeleteWacha wajidanganye siku ya mwisho inakuja tuone kama watayasma mbele ya mola wao. Haya siy ya kudharau na hasa anayejua maagizo ya mwenyezi mungu. Someni maagizo hayo kwa kina na si kwa kulazimishwa.
ReplyDeleteHaina haja hata kujadiliana na mtu asiemjua na kumuheshimu aliemuumba.
Delete