VIDEO: Jinsi Mtoto Alivyomuua Mama yake na Kunywa Damu yake



Kijana anayedhaniwa kuwa na matatizo ya Akili ,Daniel Emanuel (32)mkazi wa Sakila Chini wilaya ya Arumeru ,Mkoani Arusha,amemuua kikatili mama yake mzazi kwa kumkata vipande kwa shoka na kutenganisha kiwiliwili kisha kunywa damu yake.

Tukio hilo la kusikitisha limetokea Jana majira ya SAA 9 Alasiri nyumbani kwa marehemu katika kijiji cha Sakila chini wilaya ya Arumeru,mkoani hapa.

Kamanda wa polisi Mkoani Arusha,Jonathan Shanna amemtaja marehemu kuwa ni Eliamulika Emanuel mwenye umri wa miaka 79 mkazi wa Sakila chini wilayani humo ambaye alikuwa akiishi jirani na mtuhumiwa ambaye ni mama yake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad