VIDEO: Mazungumzo ya LIVE ya Wema Sepetu na Roma Mkatoliki



Siku ya May 16, 2020 Roma Mkatoliki na Stamina walikuwa wakifanya Instalive na kuwaonganisha baadhi ya watu maarufu kwa lengo la kushare nao kuhusu kampeni yao mpya ya uchangishaji wa shilingi 500 kwa lengo la kununua Mashine za ventilator za kusaidia kipindi hiki cha ugonjwa wa COVID-19.

Wakati wakiwa LIVE Instagram Roma alifanikiwa kumuunganisha Wema Sepetu na kuzungumza naye haya… Bonyeza PLAY hapa chini kutazama:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad