VIDEO: Mganga Mkuu wa Serikali Akanusha Uwepo wa MAKABURI 92 ya watu Waliofariki kwa Corona Morogoro


Mganga mkuu wa Serikali Profesa Abel Makubi amesikitishwa na uvumi wa taarifa za kuwepo kwa watu 92 ambao wamefariki kutokana na virusi vya corona kisha kuzikwa nyakati za usiku katika makaburi ya kola manispaa ya Morogoro, ambapo amesema kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote. VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad