VIDEO: Wabunge Waliomgomea Mbowe Wafukuzwa CHADEMA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimewachukulia hatua ya kuwafuta Uanachama Wabunge wake ambao wameenda kinyume na maagizo ya Chama hicho na kuonesha utovu wa nidhamu kwa kutoa kashfa kwa chama, huku baadhi yao wakitakiwa kujieleze kwanini wasichukuliwe hatua zaidi kwa kukiuka maagizo

                  TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haaaa Haa..!!! ha HA HA, KICHEKESHO..

    Nilisema hvi vinaanza Kuwa vioja Mtaani!

    baada ya kukosa Ajenda na Hofu ya kutorudi tena Bungeni. Sasa tumeanza KUKOMESHANA.. NI UPUMBAVU WA KUPUUZWA..!

    Mimi Mbu mbu MBU MZUNGU WA RELI. NAJUWA
    KWAMBA SHERIA IPO ON FEUD AND REPRAISAL LAW. AMBAYO MOJA KWA MOJA ..HIKI KITENDO HAKINA MASHIKO NA NIA YAKE IKO WAZI YA KISASI NA KUKOMOANA. MBOWE UMEBUGI STEPU BRO... JIPANGE.

    KAMA ULIFIKIRI HII KARATA NI TURUFU YA CORONA.. KUMBE ILIKUWA NI GARASA.

    NA BADO UTAENDELEA KUFANYA MAKOSA MENGI.

    WABUNGE WATAENDELEA KUWA WAKILISHA WAPIGA KURA WAO MPAKA UKOMO WAO NA MALIPO YAO HALALI YATAENDELEA NA KOKOTOO ZAO WATAPATA TO SERIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO. WALIO JITOA MUHANGA KUWASEMEA NA KUSIMAMIA WAPIGA KURA WAO.

    NA BUNGE KWA TAARIFA YAKO LIKO UKINGONI
    WEWE KUPOTEZA VITI VYAO KWA NIA ZAO WALIOTANGAZA NI BORA UVUMILIE TU NA USUWE KIOJA MITAANI. NA JIONGEZENI KUIJUA SHERIA.

    KINA KARUME KENGE MKO WENGI LAKINI NI AIBU KURIDI TENA DARASANI ILI UWEZE KUJIPANGA HUKO 2040 KAMA BADO CHADEMA NA WEWE UTAKUA HAI PANAPO UHAI.

    SI UNAJUA KAMA SABAYA ANACHUKUA JIMBO LA HAI.

    KOMU / SELASINI/ LWAKATARE / LIJUAKALI NA WENZENGU WOTE MLIOSHIRIKI KIKAMILIFU KUWATETEA NA KUTATUA ADHA ZA WAPIGA KURA WEZU BIG RESPECT. WALA MSIJIBISHANE NAO HAWA MITANDAOONI.

    KUSHOTO KULIA INAKULA KWAO NA WANANCHI TUNAWASOMA KUKAMILIFU HAWA VIBARAKA.

    SPIKA OYEEE// BUNGE OYEEE/ TANZANIA OYEE
    MWAMBE OYEE/ JPJM OYEEE.

    LONG LIVE TANZANIA LONG LIVE OUR GAME CHANGER KIMAGU CHETU // KIPENZI CHETU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mNYIKA AMECHEMSHA KATIKA HIYO QUOTE YA KATIBA YAO KIF 2(A). HAS BEEN FLAWED TO AN EXTENT. THERE WAS NO EFFORT TO REACH THE MP's in the first place. So its unfounded by its entirety.

      Jiongeze Dogo kujua hiyo katiba uliyoishika na siyo kuisoma bila kujua unachosoma kinaeleza nini na what are the grounds it touches to make it effective.

      Sheria and constitution has its elaborations and hiden meanings for you to understand. Kasuku anarudia aliyo sikia na wewe UMEKUWA KASUKU?

      Delete
  2. Haaaa Haa..!!! ha HA HA, KICHEKESHO..

    Nilisema hvi vinaanza Kuwa vioja Mtaani!

    baada ya kukosa Ajenda na Hofu ya kutorudi tena Bungeni. Sasa tumeanza KUKOMESHANA.. NI UPUMBAVU WA KUPUUZWA..!

    Mimi Mbu mbu MBU MZUNGU WA RELI. NAJUWA
    KWAMBA SHERIA IPO ON FEUD AND REPRAISAL LAW. AMBAYO MOJA KWA MOJA ..HIKI KITENDO HAKINA MASHIKO NA NIA YAKE IKO WAZI YA KISASI NA KUKOMOANA. MBOWE UMEBUGI STEPU BRO... JIPANGE.

    KAMA ULIFIKIRI HII KARATA NI TURUFU YA CORONA.. KUMBE ILIKUWA NI GARASA.

    NA BADO UTAENDELEA KUFANYA MAKOSA MENGI.

    WABUNGE WATAENDELEA KUWA WAKILISHA WAPIGA KURA WAO MPAKA UKOMO WAO NA MALIPO YAO HALALI YATAENDELEA NA KOKOTOO ZAO WATAPATA TO SERIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO. WALIO JITOA MUHANGA KUWASEMEA NA KUSIMAMIA WAPIGA KURA WAO.

    NA BUNGE KWA TAARIFA YAKO LIKO UKINGONI
    WEWE KUPOTEZA VITI VYAO KWA NIA ZAO WALIOTANGAZA NI BORA UVUMILIE TU NA USUWE KIOJA MITAANI. NA JIONGEZENI KUIJUA SHERIA.

    KINA KARUME KENGE MKO WENGI LAKINI NI AIBU KURIDI TENA DARASANI ILI UWEZE KUJIPANGA HUKO 2040 KAMA BADO CHADEMA NA WEWE UTAKUA HAI PANAPO UHAI.

    SI UNAJUA KAMA SABAYA ANACHUKUA JIMBO LA HAI.

    KOMU / SELASINI/ LWAKATARE / LIJUAKALI NA WENZENGU WOTE MLIOSHIRIKI KIKAMILIFU KUWATETEA NA KUTATUA ADHA ZA WAPIGA KURA WEZU BIG RESPECT. WALA MSIJIBISHANE NAO HAWA MITANDAOONI.

    KUSHOTO KULIA INAKULA KWAO NA WANANCHI TUNAWASOMA KUKAMILIFU HAWA VIBARAKA.

    SPIKA OYEEE// BUNGE OYEEE/ TANZANIA OYEE
    MWAMBE OYEE/ JPJM OYEEE.

    LONG LIVE TANZANIA LONG LIVE OUR GAME CHANGER KIMAGU CHETU // KIPENZI CHETU.

    ReplyDelete
  3. Embu kuweni wakweli...!!!
    Hilo agizo mliwashirikisha?

    Watu mmesha watoa katika magroup yenu baada ya kuwachukulia kwamba hawa ni
    Wasaliti wa prefect wenu. Mkasahau kwamba wana WAJIBU YAO WA KIMSINGI Wa kuwawakilisha Wapiga kura wao.

    Mbona mnajipotosha na kupotosha Umaa.

    Halafu makabwela nyie mna NDOTO YA KUSHIKA DOLA SIKU MOJA.

    NAWAONEENI HURUMA SANAAAAAA. MNASIKITISHA KWA KUTO KUJIELEWA NA KUELEWA.

    NDIYO MAANA WENYE AKILI ZAO WAKAAMUA KUSEPA MAPEMAAAAA MCHANA KWEUPE.

    MTABAKI HIVYO HIVO. MPO MPO TU. HAMWENDI MBELE WALA HANRUDI RIVERSE GEA ZIMEKATA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau, utendaji wa Magu umewachnganya changanya.. Sera na mwelekea umewaishaia. WANA HAHA, NA KUTAPA TAPA HAWAJUI WASHIKE LIPI NA WAWACHE LIPI... TUNAELEKEA KUTAMU SANA...

      MAGU ENDELEA KUCHAPA KAZI MPAKA KIELEWEKE.....

      Delete
  4. Embu kuweni wakweli...!!!
    Hilo agizo mliwashirikisha?

    Watu mmesha watoa katika magroup yenu baada ya kuwachukulia kwamba hawa ni
    Wasaliti wa prefect wenu. Mkasahau kwamba wana WAJIBU YAO WA KIMSINGI Wa kuwawakilisha Wapiga kura wao.

    Mbona mnajipotosha na kupotosha Umaa.

    Halafu makabwela nyie mna NDOTO YA KUSHIKA DOLA SIKU MOJA.

    NAWAONEENI HURUMA SANAAAAAA. MNASIKITISHA KWA KUTO KUJIELEWA NA KUELEWA.

    NDIYO MAANA WENYE AKILI ZAO WAKAAMUA KUSEPA MAPEMAAAAA MCHANA KWEUPE.

    MTABAKI HIVYO HIVO. MPO MPO TU. HAMWENDI MBELE WALA HANRUDI RIVERSE GEA ZIMEKATA

    ReplyDelete
  5. Baada ya haya yanayo dhihirika katika mitandao na vyombo
    vya habari nchini na nje pia.

    Its about time MSAJILI WA VYAMA ACHUKUE CROSS SECTION MAONI
    YA WABUNGE WANAOMALIZA MUDA WAO NA WANACHAMA BAADHI KM ITABIDI ILII AWEZE KUBAINI BETWEN CHAMA CHHA SIASA NA GENGE
    LA KIFAMILIA KUJITAFUTIA MAISHA. TOKA GEREJI ZA MAGARI WAFAGIAJI OFISI MASEKRETARI NA WABUNGE HAWARA NA WABUNGE NDUGU AU WASHIKAJI. HAPO KWELI KUNA CHAMA AU MASILAHI.??

    NA USIPO NINUFAISHA NA MIMI NAKUONNDOA.KWELI TUTAFIKA..????

    NA IIKITHIBITIKA MSAJILI USISITE KUCHUKUA HATUA STAHIKI ZA KISHERIA ZILIZO CHINI YA MAMLAKA YAKO..

    MUNGU IBARIKI NCHI YETU NA WAZALENDO WAKE.

    Rammadhan Kareem.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad