Wabunge CHADEMA Watangaza Kurudi Bungeni Leo Ijumaa


Wabunge wote wa CHADEMA ambao wamehitimisha siku 14 za kujitenga kwa kukaa nyumbani na kutohudhuria shughuli za Bunge, vikiwemo vikao vya Bunge, ndani ya ukumbi na kamati zake, leo Ijumaa wanatarajiwa kurejea Bungeni baada ya kuwa na uhakika kuwa hawana corona.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mkijifanya hamnazo.
    maagizo ni yale yale.

    Mmechelewa si

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad