Wabunge Wengine Waungana na Zitto Kabwe Kukaidi Tamko la PAUL Makonda
3Udaku SpecialMay 06, 2020
Top Post Ad
_
ZITTO, MSIGWA, HECHE, BULAYA WAMJIBU RC MAKONDA > Zitto Kabwe: Sitakwenda Dodoma. Nitakaa Dar kwa Uhuru > Peter Msigwa: Nipo Dar Makonda jaribu kunikamata > Ester Bulaya: Sisi tupo Karantini tunajitambua > John Heche amjibu kupitia Mithali 27:22
Mh. Makonda, Hawa watoro wenye uzoefu Imeshakula kwao, Posho walizo chukua ambazo ni kodi zetu, walala hoi. Awamu yetu iko macho zimesha ambiwa zinarudi zote kabla ya vigezo ambatanishi havijakamilishwa ikiwemo kolona flee setifiketi.
Hii ni taasisi au genge la wasani saisa.
manake uongozi ni sayansi na maarifa, AU MAARIFA SAYANSI.
Mh. Makonda, Hawa watoro wenye uzoefu Imeshakula kwao, Posho
ReplyDeletewalizo chukua ambazo ni kodi zetu, walala hoi. Awamu yetu iko macho zimesha ambiwa zinarudi zote kabla ya vigezo ambatanishi havijakamilishwa ikiwemo kolona flee setifiketi.
Hii ni taasisi au genge la wasani saisa.
manake uongozi ni sayansi na maarifa, AU MAARIFA SAYANSI.
KINA BULICHEKA PIA WAMO NDANI.
Mdau, hawakusoma alama za nyakati.
Deleteunataka chezea awamu ya TANO..??
Ama kweli..!!
ReplyDeleteHawa wote , Kina KALUME KENGE...!!!