Wakenya Watumia Mkojo wa Ng'ombe ili Kuzuia Corona


Baadhi ya wakazi wa Kaunti ya Turkana Kaskazini Magharibi nchini Kenya, wamelazimika kutumia mkojo wa Ng'ombe kama maji ili kuosha mikono yao kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Corona.


Kulingana na taarifa ya mkazi mmoja amesema uhaba wa maji katika eneo hilo ndiyo umewafanya wakazi kutumia njia hiyo ili kuzuia kusambaa kwa virusi hivyo.

Aidha mmoja wa mfugaji katika eneo hilo aitwaye Lokoliok Losike amesema anaamini kuwa mkojo wa ng'ombe unasaidia katika kuzuia maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa COVID-19.

Pia Wizara ya Afya katika kaunti hiyo imewataka wakazi waishio eneo hilo kuosha mikono kila wakati  na kuvaaa barakoa "maski" kila wanapaokuwa na mikusanyiko na watu wengine.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad