Walimu Shule Binafsi Walia njaa, Wakosa Mishahara Miezi Mitatu


Baadhi ya walimu wanaofundisha shule binafsi katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro (Moshi) wamelalamika kutolipwa mishahara yao ya miezi mitatu tangu serikali ifunge shule kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona kuingia nchini.

Walimu hao (majina yanahifadhiwa) wamesema kuwa hali ya maisha imekuwa ngumu kwao hivyo kushindwa kumudu kuhudumia familia zao.
.
"Waajiri wetu wametuambia tutalipwa hadi shule zikifunguliwa, tunateseka sana" "Kiukweli hatujui kesho yetu familia zinatutegemea, tunabangaiza tu, tunahitaji msaada"
Walisema baadhi ya walimu hao.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hili hatulikubali sisi kama Serikali.
    Mrisho Gambo na timu ya watendaji
    waeshaanza kulishughulikia.

    Awamu ya tano ni papo kwa papo hatulazi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad