Wanaume Siku Hizi Mbona Mnalia lia Sana Kuchunwa?

Hata maandiko matakatifu yameandikwa mwanaume utahangaika juani ili umlishe mkeo na mwanamke atazaa kwa uchungu, sasa imekua siku hizi wanaume kumhudumia mwanamke imekua ni kulia lia sana mwanaume wa ukweli anatakiwa ajue mpenzi wake au mke anamhudumia vipi.

Hivi mnadhani nyie wavulana unakua hujaoa una mpenzi tu unataka aishi vipi unakuta unatoa vielfu 50 unalalamkika mpaka povu linakutoka unataka kumiliki msichana mrembo mzuri huku unatoa kihamsini unalalamika sana starehe gharama ukiona vyapendeza ujue vimegharamiwa.

Ebu kueni wastaarabu basi kutwa kulia lia humu JF, mnawadhalilisha sana kina dada anakuja kwako kajigharamia mwenyewe mapouda nini unamgaragaza unamtindua wewe ukimpa kihamsini unalalamikaaaaaa sasa unatakaje?

Acheni hizo basi ukimtoa out akija na rafiki yake wakinywa savana tu mnalia sasa mnataka wanywe viroba? Au safari?
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wengi wao, hawajielewi, kazi zao ni zipi, wanajishushia hadhi wenyewe ya kuitwa mwanamume aka baba wanataka mwanamke au wanawake aplay part zote, mwisho wa siku, generation ya wanaume au mwanamume watadhalaulika sana, kwanza wamesha Anza kwenye jamii zingine, za mbali zilizoendelea, wanawake wamekua kama wanaume na wanaume wamekuwa kama wanawake, kwa kuwa wanaume hawajui wajibu wao ni upi, mwishowe kama si kutawaliwa na wanawake au la kutoitajika kabisaaa na wanawake kulingana na sayansi inavyoendelea na mienendo mzima wa maisha uchumi( money) na maendeleo wanaume hawatoitajika sanaa katika jamii zaidi ya sana sana ni mbegu zao, wanawake ndio watakazo zitaji, ili aweza kuwa na watoto, nazo, hata huku kwetu yatakuja, wanaume watalipwa hela na kutolewa mbegu tu, na wanawake watafika kununua na kupandikizwa basi, hapo wanaume karibu wote watakuwa wamepoteza mustakabali wa uwanaume wao kwa kushindwa kuwajibika ni hayo tu

    ReplyDelete
  2. OH I can understand kwamba mwanaume akuhudumiye lakini anapokualika siyo lazima uje na rafiki yako yeye kataka kutoka na wewe tu muwe pamoja.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad