Wanawake wa Kichagga na Kihaya Mtatumaliza Wanaume

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Wanawake wa kichagga na kihaya wanatumalizia ndugu zetu. Yaani hawa wanawake ni so strategic, wananyatia wanaume (hata simba na ufundi wake wa kuwinda hawafikii) wenye mafanikio au dalili ya kufanikiwa tu! Wanaume waliosoma, wenye hela au biashara kubwa kubwa. Mbaya zaidi wakishaolewa wanawaendesha hao wanaume mpaka wengine wanakufa vifo vya ghafla kama vile kwa presha! Mrengo wao kimaisha ni kujenga kwao.

Ndugu zangu na rafiki zangu asilimia kubwa wenye mafanikio na elimu wote wameoa wachagga au wahaya, yaani badala ya kuwapenda hawa wanawake kwa sababu ni shemeji zangu, badala yake sina amsha amsha nao kabisa. Mwaka jana kulikuwa na harusi kama 18 hivi ambazo nilihusishwa kwa sababu ya ukaribu au undugu, yaani kati ya hizo 16 mchagga au mhaya anaolewa! Niligoma mgomo baridi, vikao wala michango sikutoa! Mbaya zaidi kuna jamaa nimesom naye UDSM rafiki wa damu, tuliapa viapo vyote, tukae mbali na wanawake wa kichagga na kihaya, cha ajabu juzi ananitumia ujumbe wa simu kuwa anaoa na nilivyohoji shemeji ni wa wapi, akaniambia mchagga. Yaani anamezwa na zimu tulilolikwepa kwa zaidi ya miaka kumi!

Wakuu hii hali ikoje kwa jamaa/ndugu zenu? Wanawake wa kihaya na kichagga muwe na uungwana japo kidogo.

By Simplicity.
Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unalamika tu bila kutowa sababu za msingi. Ladda niwazuri kitandani kuliko hao wengine.fanya kwanza.uchunguzi nn kinacho wasukuma hao wanaume huko

    ReplyDelete
  2. We pumbavu sana mi mchaga na nimeolewa na mkurya acha ukabila umalaya unakumaliza kwa uchoyo na ubinafsi eti wanawake hawa wanatumaliza ili wajenge kwao sahz kuna mwanamke anategemea mwanaume kweli wanawake tunapambana wenyewe tunajenga tunasomesha we umekaa na akili zako za kamasi eti tunawainda nyoko zako...haya kamuoe dada yako ndo hatakumaliza...mfyuuuu

    ReplyDelete
  3. Hata Mramba alipokonywa naFuso

    ReplyDelete
  4. unachuki binafsi.mimi najua ukioa awa wamama wanapambana umaskini unaisha ktk familia ndo maana wanaume wenye akili wanawatafuta.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli umaskini huwa unaisha lkn mwisho wa Siku lazima atafikiria jinsi ya kukuondoa ili amiliki huo utajiri peke yake

      Delete
  5. Utafiti wako unamashaka.

    ReplyDelete
  6. tatizo halipo kwa wanawake wa kichaga tatizo ni wanaume wenyewe ndiyo wanapenda kuoa wachaga sababu wachaga mara nyingi ni weupe na wanaume wakibongo wengi wao wanapenda kuoa wanawake walio weupe, kwa hiyo wala usisingizie kuwa tatizo liko kwa wanawake wa kichaga, na hata kama wanawake wa kichaga wanapenda sana hela kwani mlikuwa hamjui kabla ya kuoa, kwani mlilazishwa kuwaoa ni uamuzi wenu wenyewe halafu mnakuja kulalamika hapa kama vile mlilazimishwa

    ReplyDelete
  7. Wachaga wachinaji, wanaua wanaume, wanawafanya wanaume kuwa undercontrol si watu hata kidogo

    ReplyDelete
  8. Hahaha!mimi mwenyewe nawakwepa sana hao watu nawajua vizuri,niliwah kuozeshwa kilazima ila nikajinasua yaani sina hamu nao hata kidogo na maana nikimtongoza Demu halafu akiniambia ni mchaga huwa natoka mbio!

    ReplyDelete
    Replies
    1. we nawe rudi shule inaonekana elimu kwako haipo kabisa jibu ulilotoa halina elimu,jamani shule nzuri majibu ya chekechea huku yanini tena ni sheda hahaha

      Delete
  9. Kaka mimi nakushauri njoo uoe Ruvuma wanawake wakarimu hawajui hata maana ya pesa wao wanajua mapenzi tu.

    ReplyDelete
  10. ni heri muoe wasichana wa kigogo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wavivu. Wanajulikana kama omba omba kwenye miji

      Delete
  11. wewe ni mbulula kichwa maji rudi shule wenzako walishaelimika waonea kabla la kitajiri wivu kwa kweli wanawake kabla la kichaga ndio wanaongoza kwa uzuri kuliko makabla mengine ndio maana wanaume wote wanakimbilia huko, na nanii zao hazina maji kama za wanawake wa kabla la kwako kuma zimejaa maji kibao ndio maana wanaume wanakimbilia uchagani wanajuwa,unafikiri ni poyoyo kama wewe usiye na elimu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kaka unaposema wanawake wa kichaga ndo wanaongoza kwa uzuri utakuwa unatudanganya,ww umetumia vigezo gani kuwapima uzuri wao mbona mimi naona wengi ni majike dume

      Delete
  12. Tusikariri,mbona wako wengine hawana hizo tabia

    ReplyDelete
  13. wangekuwa majike dume wanaume hawangelikimbilia huko hao wa kwenu ndio majike dume ndio maana wanaume hawakimbilii wanawake kabla lenu we mbulula, mwenye kunukuu hadithi za zamani,toa hoja yako hapa ambayo haina kichwa wala miguu,rudi shule ukafute ujinga kichwani,au kama kitabu hakipandi rudi kijijini ukalime,eti unatudanganya ulitumwa ulete hoja yako ya kipuuzi hapa, ukweli ndivyo ulivyo penda usipende.

    ReplyDelete
  14. Karibuni katika blog yangu changa kwa ushauri

    https://www.mrbunduki.com

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad