Waziri Kigwangalla Asema Wamiliki wa Hoteli Kutenga vyumba kwa Ajili ya Kupiga Nyungu


Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla, amesema wanawashawishi waendeshaji wa utalii na wamiliki wa hoteli kutenga vyumba  maalum kwa ajili ya kupiga nyungu .

“Wamiliki wa hoteli kutenga vyunba maalum kwenye Spa zao kwa ajili ya kupigia nyungu ya mitishamba, marashi na miti dawa yetu ya asili,” aliandika Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter.

Kigwangalla amesema tiba asilia imesaidia sana kwenye ugonjwa wa Corona .

“Hatutaki kusema tu lakini kiukweli tiba asili imerusaidia sana kwenye Corona ! Tuiuze nje sasa
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad