Waziri Nchemba Amcharua Zitto KABWE Kutaka Majibu ya Uchunguzi wa Maabara "Uko Bize Kupandikiza Chuki"


Waziri wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba, amemcharua kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe huku akimuambia kamati iliyoundwa kwa ajili ya kuchunguza maabara ya kitaifa hakuiunda yeye.

Jana Zitto alisema kuwa Rais John magufuli alitangaza maabara ya taifa haitoi vipimo vya kweli vya Covid-19

Kiongozi huyo aliitaka serikali kutoa majibu ya uchunguzi uliofanywa katika maabara hiyo na sio kukaa kimya.

Nchemba alimjibu zitto kuwa “Zitto, kamati hukuunda wewe! Tor hukutoa wewe! Busy kutaka report, mko busy kuwadodosa wajumbe wa tume, kupanda chuki,” aliandika Nchemba.

Nchemba amesema Watanzania kila siku wanapata huduma mahospitalini ” wewe unataka mpaka tupime mashine ya mapapai?,”.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mzee WA Twita, umejichimbia wapi Mh Makonda haja kupata au ulisha ripoti kwa Mambosasa?

    Lakini nie nnavyo ona Kilaza kama wewe inawezekana umeondoka Dar Uko Kingolwira manake HATA Moro inaogopa kuonekana. Sasa unasema je huko twita Jitto? We Dogo KILA hoja unadandia.. Utapelekwa ferry mwisho wake ukashangalie Meli.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivyo Huyu Dogo.. Anatutakia Nini na Nchi yetu? MEMA AU MAOVU ?

      TCRA hawajamzibiti tuu??

      Uwanja wa Ndugai, UMEMSHINDA kwa FALSAFA YA UPOTOSHAJI & Utoro wake
      na UZIBITI makini wa Kiti. Sasa amejitafutia Uwanja Mpya usiokuwa na Washangiliaji wala wasomaji, ila inaeleweka Upotoshaji na Madhara makubwa ikiwa Hato Dhibitiwa Haraka.

      Vyombo husika ni Bora watathmini Faida na Hasara yake inyoweza kusababishwa na Mzamiaji Huyu...!!!!

      Tanzania Ni Nchi Salama na Ina Amani.

      Tusikubali vibaraka watumiwe na sisi Tunaangalia, Tukijua Nia Na Lengo lao Hawana Dhamira Njema Kwa Nchi yetu!

      Lipeni uzito unaostahili.

      Delete
  2. Mzee WA Twita, umejichimbia wapi Mh Makonda haja kupata au ulisha ripoti kwa Mambosasa?

    Lakini nie nnavyo ona Kilaza kama wewe inawezekana umeondoka Dar Uko Kingolwira manake HATA Moro inaogopa kuonekana. Sasa unasema je huko twita Jitto? We Dogo KILA hoja unadandia.. Utapelekwa ferry mwisho wake ukashangalie Meli. Unaujua kama bunge liko mwisho I? Hutaki kuaga? Na Kuomba msamaha WA kuwakosea WaTanzania na Umbea ulio ufungia safari na kufeli kule na Aibu uliyoipata baada ya Mkopo kuidhinishwa.

    ReplyDelete
  3. Jitto, nimesikia Uvira kuna Mafuriko.
    wajulie hali na ikibidi rudi nyumbani
    kazi na Ajira ziko nyingi ikibidi unaweza kwenyeshaba la Babu ukalima Mawese au mtumbwwi wa mjoba ukavua Dagaa na Uduvi. kalibu sana.

    Manake nasikia Watanzania hawaa amu tena na Wewe. KISA ..Umewaendea kinyume kwa kutafuta dili za NSSF KIGABONI NA JIWE LA BLIN BLING TOKA GEITA ULILOPELEKEWA UGHAIBUNI NA KULIPOKEAKAMA ZAWADI..MBUNGO FAILI ANALIPITIA TOKA KWA DIWANI.

    Cha zaidi, ulivyo titutika mpaka ughaibuni na kuwapa hojja Batili ili Mkoppo wa Elimu wa $500M usitishwe kwa
    Nchi yao..Kweli wewe umewakoseasana na ni mwizi wa Fadhila kwa Watanzania.



    ReplyDelete
  4. Hivyo Huyu Dogo.. TCRA hawajamzibiti tuu??

    Uwanja wa Ndugai amwshindwa kwa Utoro wake
    na uzibiti makini wa kiti. Sasa amejitafutia Uwanja Mpya usiokuwa na Washangiliaji wala wasomaji ila inaeleweka Upotoshaji na Madhara makubwa ikiwa Haito Dhibitiwa Haraka.

    Vyombo husika ni Bora watathmini Faida na Hasara yake inyoweza kusababishwa na Mzamiaji Huyu...!!!!

    Tanzania Ni Nchi Salama na Ina Amani.

    Tusikubali vibaraka watumiwe na sisi Tunaangalia, Tukijua Nia Na Lengo lao Hawana Dhamira Njema Kwa Nchi yetu!

    Lipeni uzito unaostahili.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad