Waziri Ummy Mwalimu Akanusha Kuwa Anaugua Ugonjwa wa Corona

Ummy Mwalimu @ummymwalimu amekanusha taarifa iliyosambaa mitandaoni kwamba ameambukizwa corona, Waziri Ummy amesema taarifa hiyo haina ukweli na inapaswa kupuuzwa>> “mimi kupata corona sio ajabu wala aibu, hata hivyo taarifa hii sio ya kweli, ipuuzwe”

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Well said, Mama endelea kututumikia na Inshaallah allah atakulinda,
    Wa Mitandaoni waachie wapike na Kupakua wenyewe.

    Wapotezee wapuuzi Hawa. Hawana lao Jambo.

    Ina Laah sayansurak Mama. Endelea Kuchapa Kazi.
    Mtanguulize Mungu mbele siku zote kama anavyosema Mh Raisi.
    Na inshaallah tutaishinda Corona na Kama Corona.

    Allah ndiyo muweza wa yote. Imani zetu na Dua Zetu ziko pamoja nanyi na Mh Raisi JPJM.

    Ramadhan Kareem.

    ReplyDelete
  2. Well said, Mama endelea kututumikia na Inshaallah allah atakulinda,
    Wa Mitandaoni waachie wapike na Kupakua wenyewe.

    Wapotezee wapuuzi Hawa. Hawana lao Jambo.

    Ina Laah sayansurak Mama. Endelea Kuchapa Kazi.
    Mtanguulize Mungu mbele siku zote kama anavyosema Mh Raisi.
    Na inshaallah tutaishinda Corona na Kama Corona.

    Allah ndiyo muweza wa yote. Imani zetu na Dua Zetu ziko pamoja nanyi na Mh Raisi JPJM.

    Ramadhan Kareem.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad