Masanii wa Bongo Movie Wema Sepetu naye amezungumza suala la papati kukutwa na maambukizi ya virusi vya corona aisema hamna shida kwani yeye sio mpenzi wa tunda hilo.
Wema amesema hay oleo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari aalipoulizwa mtazamo wake kuhusu gumzo hilo linaloendelea hapa nchini baada ya Rais John Magufuli kusema Sampuli za Mbuzi na papai zilipimwa nazo zikakutwa na corona.
“Tunda la papai silipendi kwahiyo kama limekutwa na corona naona hamna shida, biriani yangu siweki papai, Watu waendelee kujikinga, tutavaa mask tutafanya nini bado unakutana na kitu ambacho ni ngumu kuepuka, Watu kila siku wanakufa, tuombe Mungu”
"Tunda la papai silipendi kwahiyo kama limekutwa na corona naona hamna shida, biriani yangu siweki papai, Watu waendelee kujikinga, tutavaa mask tutafanya nini bado unakutana na kitu ambacho ni ngumu kuepuka, Watu kila siku wanakufa, tuombe Mungu”-WEMA https://t.co/Vfeysp9BzK pic.twitter.com/motdkSA6cd— millardayo (@millardayo) May 5, 2020