WEMA Sepetu Akunwa na ROSA Ree Baada ya Kuonekana Akiigiza Kwenye Series ya WE Men..."I Know Talent When I See One"


Kwa Mara ya Kwanza Rapper Rosa Ree ameonekana akiigiza katika Series ya We Men na Watu wengi wamempongeza kwa umahiri aliyoonesha, mmoja waliovutiwa na Wema Sepetu na Kuamua Kuandika Haya:

Wemasepetu
 Rosa Ree...😍😍😍 @rosa_ree You got it in you babe... Guys I repeat, This is Next level jamani... Chapter 6 inakuja lini Max... Wacha kutuweka roho juu basi... .

The Next Big Thing... Im telling You... I know Talent when I see One....😌😌😌 Napenda vitu vizuri mimi...

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad