Watu 15 zaidi wameambukizwa ugonjwa wa corona nchini Kenya ndani ya masaa 24.
Waziri wa Afya Mutahi Kagwe amesema leo Ijumaa, Mei 1, wakati wa kikao na wanahabari
Idadi hiyo sasa inafikisha watu walioambukizwa virusi hivyo nchini Kenya kuwa 411.
Aidha watu wanne pia wamefariki na kufikisha idadi ya waliofariki kuwa 21.
mnatangaza ya wenzenu, yenu mmeyaficha...
ReplyDelete