Unaweza kusema Shirika la afya dunia limemuonya Rais wa Marekani Donald Trump na wengine wanaouitwa ugonjwa wa virus corona (Covid-19) kama virusi vya China ua Wuhan (jimbo la China viliporipotiwa kwa mara ya kwanza”
WHO imepiga marufuku kwa Mtu yeyote au chombo cha habari kuupa majina ugonjwa kwa kuhusisha na Nchi au eneo fulani, ili kuepuka malumbano yasiyo ya lazima.
Kauli hiyo ya WHO inakuja kufuatia Rais Trump ambaye amekuwa akivutana na shirika hilo na Watu wengine kuviita virusi vya corona ‘virusi vya Wuhan au virusi vya China’.
WHO imepiga marufuku kwa Mtu yeyote au chombo cha habari kuupa majina ugonjwa kwa kuhusisha na Nchi au eneo fulani, ili kuepuka malumbano yasiyo ya lazima, kauli ya WHO inakuja kufuatia Rais Trump na Watu wengine kuviita virusi vya corona ‘virusi vya Wuhan au virusi vya China’. pic.twitter.com/xX9wXPXDvN— millardayo (@millardayo) May 12, 2020