Yajue Madhara ya Kutokufanya Mapenzi kwa Muda Mrefu



Habari ya muda huu wasomaji wetu karibu karibu katika ukurasa wetu wa mahusiano.

Zifuatazo ni athari hasi za kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu;

1. Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo mara kwa mara, huwa anakasirishwa na vitu vidogo hata visivyokuwa na maana yeye huvitilia maanani .

2. Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mwanamke), Tafiti zinaonesha kuwa mwanamke anapokuwa kwenye mzunguko wake wa siku 28 kama hatoshiriki tendo la ndoa kwa kipindi kirefu basi hupoteza damu nyingi wakati wa hedhi.



3. Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu) hii pia ni tabia inayoibuka kisaikolojia kutokana na kile watoto wa mtaani wanachoita mizuka inampanda kwa yasiyomuhusu.

4. Kuumwa na kichwa, Wataalamu wametaja maumivu ya kichwa mara kwa mara wakati mwingine husababishwa na kutofanya mapenzi kwa muda mrefu.

5. Kukakamaa mgongo (wanaume), Inasemekana kuwa mwanaume akikaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu husumbuliwa na maumivu ya mgongo ya mara kwa mara.

6. Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba, Hii imeelezwa ni kutokana na ndoto zile utakazoota kifkra kwamba unafanya tendo la ndoa ndio hupelekea kumkaribisha jini mahaba katika mwili wako.

7. Kupoteza umakini katika kazi, Wataalamu wa mambo wanasema kwamba pindi unapokaa muda mrefu bila kushiriki tendo la ndoa unapoteza uwezo wa kufanya kazi kwa umakini unaotakiwa.



8. Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno, Inasemekana utakuwa umekamia mechi hivyo utauanza mchezo bila maandalizi yanayotakiwa hivyo msuguano utakuwa mkali na kuleta madhara.

9. Kutopata mtoto au kuchelewa kupata mtoto, mimba hupatikana pale tu mtu anaposhiriki tendo la ndoa, hivyo kutofanya mapenzi hufanya mtu asipate mtoto

10. Kuwa na tabia ya kuchekacheka ovyo au kuonekana kama hauko sawa kimwili na hata kiakili, hili lipo hasa kwa wasichana/wanawake
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad